Saturday, February 2, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KUTOKANA NA SHIDA ZA ULIMWENGU HUU TULIONAO NAONA NI VIGUMU SANA KWETU SISI KUUONA ULE UFALME WA MUNGU KATIKA HALI YA KAWAIDA. NASEMA HIVYO KWA KUWA NIMEZUNGUKA NA KUONA MENGI MNO YA DUNIA HII AMBAYO HATA UKISIMULIWA LEO HII HUTOYAKUBALI HADI YAKUKUTE. NDUGU KUMSALITI NDUGUYE SABABU YA FEDHA NI KITU KIDOGO SANA.
No comments:
Post a Comment